Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu amevilaumu vyombo vya habari kwa
kueneza habari za uongo kuhusiana umri na maisha yake binafsi. Mtemvu
amesema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar
es Salaam.
“Ukweli ni kwamba nina miaka 23 na cheti hicho hapo kinajielezea,
mkitaka mnaweza kwenda hizo sehemu wanazotoa vyeti mkawauliza,” alisema
Sitti. Mtemvu alisema cheti
↧