Jumatatu ya wiki hii Jeshi la Wananchi Tanzania, JWTZ, lilitoa tamko kuhusu wananchi kumiliki au kuvaa sare za jeshi hilo.
Japo tamko hilo la JWTZ limetoka kwa ufupi bila kuweka wazi kwanini
wameamua kulitoa tena wiki hii, ni wazi kuwa limetokana na wasanii
kadhaa wakiwemo Diamond na dancers wake, Chege na Nay wa Mitego kuvaa
sare hizo kwenye show ya Serengeti Fiesta iliyofanyika kwenye
↧