Msanii mkubwa wa Marekani, T.I alikua mgeni kwenye stage ya Tamasha la Fiesta lililofanyika Leaders
club October 18 2014 akiwa na timu yake ya watu wasiopungua watano na
kuisimamia hiyo show kwa zaidi ya dakika 60.
Baada ya show Jumamosi, T.I aliondoka Tanzania Jumapili kurudi kwao
Marekani kwa ajili ya kuhakikisha promo inakwenda vizuri sababu album
yake mpya ilikua inatoka
↧