Wanafunzi wawili wa shule za msingi za Nyabisara
(Murito) na Kerende Kata ya Kemambo wilayani Tarime, Mara wameumwa hadi
kuondolewa nyama zao za miguu na mamba walipokwenda kuoga maji ya mto
kwa nyakati tofauti.
Wanafunzi hao ni Penina Joseph Mangure (11) wa darasa la nne Shule
ya Msingi Nyabisara katika Kijiji cha Murito ambaye ni mtoto wa
mwenyekiti wa kijiji hicho, Joseph
↧