Mkazi wa Buguruni, Rukia Nassor amekimbilia
Kituo cha Polisi Buguruni jijini Dar kutoa taarifa ya bintiye Saida
Said (18) (pichani)kutoroshwa nyumbani kwake siku chache kabla ya
ndoa.Alipofika kituoni hapo, mwanamke huyo alimtaja mtu mmoja kwa jina
moja la Shaban kwamba ndiye aliyefanya kitendo hicho.
Mmoja wa ndugu ambaye hakupenda jina lake
liandikwe alisema mama huyo amekuwa
↧