Baadhi ya ndugu waliokuwa wakiuaga mwili wa Aron Kihundwa (28) kwenye
Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar walijikuta wakidondoka na kuzimia
kufuatia uchungu wa kumpoteza mpendwa wao huyo aliyedaiwa kuuawa na
Komandoo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Octavian Mgowele.
Tukio hilo lilijiri wiki iliyopita na kumfanya Mchungaji Elaina
Msuya wa Kanisa la KKKT aliyekuwa akiongoza misa ya
↧