Kadi ya Rais Obama Yakataliwa
Rais wa Marekani Barack Obama amejikuta katika wakati mgumu baada ya kadi yake ya muamana (credit card) kukataliwa katika mojawapo ya migahawa iliyopo jijini New York. Obama amekiri kukutana na...
View ArticleWasichana 200 waliotekwa na Boko Haram watarajiwa kuachiwa huru
Serikali ya Nigeria na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram, wamefikia makubaliano ya usitishaji mapigano na kuachiliwa huru wanafunzi wa kike wanaoshikiliwa na kundi hilo. Hayo...
View ArticleRayuu Ataka Wolper akapime UKIMWI..
Msanii wa filamu Bongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amemtaka msanii mwenzake, Jacqueline Wolper apime Ukimwi kama alivyofanya yeye. Akiongea na mwandishi wetu, Rayuu alisema anamheshimu Wolper na...
View ArticleMadereva wanaonuka Pombe kufutiwa Leseni
KAMATI Maalumu iliyoundwa na Serikali kutathmini ongezeko la ajali za barabarani nchini, imependekeza madereva watakaokutwa wakinukia pombe, wafutiwe leseni. Kaimu Mwenyekiti wa Kamati hiyo,...
View ArticleNEC ya CCM yaunga Mkono Katiba inayopendekezwa kwa asilimia 100
HALMASHAURI Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyomaliza kikao chake jana jioni Mjini Dodoma, imeunga mkono katiba iliyopendekezwa kwa asilimia 100. Katika mkutano wake na waandishi wa habari...
View ArticleKatibu wa CHADEMA akipiga chini chama hicho kwa siasa za kidikteta...Ajiunga CCM
Aliyekuwa Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Mtera, Lameck Lubote ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kusema amechoka na siasa...
View ArticlePicha: Shilole Azindua Video yake mpya
Jana (Ijumaa) msanii wa muziki na maigizo Bongo, Zuwena Mohammed ’Shilole’ amezindua video ya ya wimbo wake wa ‘Namchukua’ ndani ya viwanja vya Ufukwe wa Coco Beach, ambapo watu mbalimbali...
View ArticlePicha: Vanessa Mdee Akitoa burudani ya nguvu Serengeti Fiesta 2014
Msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee akitoa burudani usiku wa kuamkia leo katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 viwanja vya Leaders Club jijini Dar.
View ArticleOmmy Dimpoz na Vanessa Mdee wakiwasha moto wa nguvu serengeti Fiesta
Msanii wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz akitumbuiza kwa staili yake kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 Dar Leaders Club. Msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee akifana yake na Ommy Dimpoz. Madansa wa...
View ArticleDavido Akitoa burudani ya nguvu Serengeti Fiesta 2014....Jukwaa liliwaka moto...
Msanii kutoka Nigeria, David Adedeji Adeleke 'Davido' akikamua kwenye tamasha la Fiesta Leaders Club jijini Dar. Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz akifanya makamuzi na Davido (kulia).
View ArticleT.I , Diamond Platnumz balaa tupu Serengeti Fiesta 2014....Ilikuwa ni zaidi...
Rapa kutoka nchini Marekani, Clifford Harris,'T.I' akitoa burudani kwenye tamasha la Fiesta Leaders Club jijini Dar. Staa wa Bongo Fleva Nasib Abdul 'Diamond Platinum' akiimba juu ya jukwaa la...
View ArticleKizimbani kwa kucheza “vigodoro” wakiwa UCHI
WAKAZI wa eneo la Masasi Mbovu katika Halmashauri ya mji wa Masasi mkoani Mtwara wamefikishwa kwa mara ya kwanza mahakamani kujibu shitaka linalowakabili la kucheza wakiwa watupu kwa staili ya...
View ArticleMwanafunzi wa darasa la sita abakwa na watu sita
Mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka 13 wa shule ya msingi ya Themi iliyopo jijini Arusha mkoani Arusha hali yake siyo nzuri baada ya kunajisiwa na watu sita. Tukio hilo lilitokea...
View ArticleRuzuku, sheria kuwazuia UKAWA Kusimamisha mgombea mmoja wa Urais 2015
MGAWANYO wa ruzuku na kikwazo cha Sheria ya Vyama vya Siasa, vinatarajiwa kugeuka kisu kikali, kitakachotishia muungano wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vya Chadema, CUF na...
View ArticleBig Brother Africa: Video za Washiriki Wakioga Bafuni ziko hapa ( Video hizi...
Video za washiriki wa jumba la big brother wakioga bafuni ziko hapa. Video hizi ni kuanzia DAY 1 hadi DAY 10. Mbali na video hizi, kuna video moja ya washiriki wakifanya...
View ArticleAunt Lulu Ampa Somo Johari
Staa wa Bongo Movies, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ameibuka na kumtaka msanii mwenzake, Blandina Chagula ‘Johari’ kukubaliana na matokeo ya aliyekuwa mpenzi wake Vincent Kigos ‘Ray’ kwamba kwa sasa ana...
View ArticleDr. Cheni: Rushwa ya Ngono wanaitaka wenyewe, hakuna anayewalazimisha
Staa wa filamu za Kibongo, Muhsein Awadhi ‘Dk. Cheni’ amekanusha tabia ya wasanii wakubwa kuwaomba rushwa ya ngono wasanii chipukizi na kudai wanaziendekeza wao wenyewe. Akiongea na mwandishi wetu,...
View ArticleLulu Angekuwa Hollywood Na Selena Gomez Pasingetosha ..... Aachia Ngazi Penzi...
Star mkubwa wa filamu nchini Tanzania Lulu Elizabeth Michael anaonekana kumpenda sana Justin Bieber kama alivyowahi kueleza huko nyuma kuwa anampenda kweli kiasi cha kumfuatilia kwa ukaribu Selena...
View ArticleMaajabu: Mti Uliodondoka Miaka Mitatu Iliyopita Wainuka na Kusimama Wima Kama...
Wananchi wa kijiji cha Mfuto katika Kata ya Ufulumo huko Wilayani Uyui, Tabora wamepatwa na mshituko na kuingiwa na hofu baada ya mti aina ya msufi, uliong'oka na kuanguka miaka mitatu iliyopita,...
View ArticleMarekani Yashambulia Wanamgambo wa Syria kwa ndege
Ndege za kijeshi za Marekani zikirusha makombora kushambulia wanamgambo wa kundi la Islamic State katika mji wa Kabane, Syria. Muonekano baada ya ndege za Marekani kutupa makombora. Marekani...
View Article