Serikali ya Nigeria na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la
Boko Haram, wamefikia makubaliano ya usitishaji mapigano na kuachiliwa
huru wanafunzi wa kike wanaoshikiliwa na kundi hilo.
Hayo yameelezwa na mkuu wa vikosi vya jeshi la Nigeria, Meja Jenerali
Alex Sabundu Badeh na Hassan Tukur, Katibu wa ikulu ya rais ya nchi
hiyo na mshauri wa karibu Rais Goodluck Jonathan na
↧