Rais wa Marekani Barack Obama amejikuta katika wakati mgumu baada ya
kadi yake ya muamana (credit card) kukataliwa katika mojawapo ya
migahawa iliyopo jijini New York.
Obama amekiri kukutana na mkasa huo alipokuwa akizunguma na waandishi
wa habari baada ya kusaini agizo la rais litakalotumika kama sheria ya
matumizi ya kadi za muamana ambayo itasaidia katika kuzuia wizi wa kadi
↧