Star mkubwa wa filamu nchini Tanzania Lulu Elizabeth Michael anaonekana
kumpenda sana Justin Bieber kama alivyowahi kueleza huko nyuma kuwa
anampenda kweli kiasi cha kumfuatilia kwa ukaribu Selena Gomez ambaye ni
girfriend wa Bieber.
Hata hivyo Lulu ameonekana kuachia ngazi kwa
Bieber baada ya takribani miaka 4 akiwa anaugulia penzi lake moyoni bila
mafanikio !
Kama unavyojua
↧