Wananchi wa kijiji cha Mfuto katika Kata ya Ufulumo huko Wilayani
Uyui, Tabora wamepatwa na mshituko na kuingiwa na hofu baada ya mti aina
ya msufi, uliong'oka na kuanguka miaka mitatu iliyopita, kuinuka na
kusimama wima kama zamani.
Mti huo wenye kipeo cha futi mbili inaelezwa kuwa ulianguka kwa upepo
mkali na kuungua kwa moto wakati wa kuandaa mashamba. Mtangazaji wa TBC
anasema
↧