Ndege za kijeshi za Marekani zikirusha makombora kushambulia wanamgambo wa kundi la Islamic State katika mji wa Kabane, Syria.
Muonekano baada ya ndege za Marekani kutupa makombora.
Marekani wameshambulia wanamgambo wa kundi la Islamic State katika
mji wa Kabane, Syria kwa makombora kwa kutumia ndege za kijeshi.
Mashambulizi hayo yamesababisha kuwarudisha nyuma wanamgambo hao
↧