Kachero wa Kenya atoa ushahidi mahakamani Dar
Mkuu wa Uchunguzi wa Maandishi wa Jeshi la Polisi Kenya, John Kimani ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kuwa saini zinazodaiwa kusainiwa na Ramadhani Balenga katika hati ya...
View ArticleKanusho la JWTZ Kuhusu askari wake kuwapora wavuvi
Kanusho la JWTZ Kuhusu askari wake kuwapora wavuvi
View ArticleOrijino Komedi wanunua nyumba 7 za NSSF, zina thamani ya shilingi milioni 840
Kundi la uchekeshaji la Orijino Komedi limenunua na kuwakabidhi wasanii wake nyumba saba zenye thamani ya shilingi milioni 840 ambapo kila nyumba moja ilinunuliwa kwa thamani ya shilingi milioni 120....
View Article27 Wateuliwa kuwa Makatibu wa CCM Wilaya
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa jana Oktoba 15, 2014 katika kikao chake cha siku moja kilichofanyika mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. Jakaya Mrisho...
View ArticleUmri wa Miss Tanzania MPYA , Siti Mtemvu umezua mjadala mkubwa miongoni mwa...
Siku chache baada ya kutwaa Taji la Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Zuberi Mtemvu ameibua mshangao wa aina yake kutokana na utata wa umri wake. Utata huo uliibuka saa chache mara baada ya shindano...
View ArticleWatoto 130 hufa kila siku kwa lishe duni
Wakati Tanzania ikisherehekea Siku ya Chakula Duniani, imeelezwa kuwa watoto 130 hufa kila siku nchini kutokana na kukosa lishe bora na matunzo sahihi. Hayo yalibainishwa jana na Waziri wa Kilimo,...
View ArticleMama na mwanawe wachinjwa kikatili mkoani Shinyanga wakituhumiwa kuwa ni wachawi
WATU wawili, Dilu Tungu (80) na mwanawe Bunya Mihangwa (45) wameuawa kikatili kwa kuchinjwa na watu wasiofahamika baada ya kuvamia nyumba hiyo katika kijiji cha Ihugi kata ya Lyamidati wilaya ya...
View ArticleRaia wa kigeni wafa hotelini jijini Dar
WATU sita wameaga dunia jijini Dar es Salaam wakiwemo raia wawili wa kigeni ambao wamekutwa wamekufa chumbani kwao na miili yao ikiwa haina jeraha lolote. Kwa mujibu wa taarifa za Jeshi la Polisi,...
View ArticleJambazi aliyeua Afisa Usalama wa Taifa naye Auawa
Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, amethibitisha kuwa Jeshi lake limefanikiwa kumkamata jambazi sugu aitwaye Paulo Thamas Milanzi maarufu Chinga (35), Mmakonde mkazi wa...
View ArticleShule yageuzwa Danguro....Wake za watu wafanya Uzinzi hadharani, Wanafunzi...
Danguro hatari linaloendesha shughuli zake katika eneo la shule limefichuliwa baada ya kumnasa mwanamke aliyedai ni mke wa mtu akifanya uzinzi na mtu ambaye hakufahamika mara moja. Tukio hilo la aibu...
View ArticlePicha 5 za Majeruhi wa Moto Mbagala Dar waliolazwa hospitali ya Muhimbili
Majeruhi 9 kati ya 15 waliofikishwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuungua na moto uliosababishwa na kuungua kwa lori la mafuta huko Mbagala jijini Dar es Salaam Oktoba 15 mwaka huu,...
View ArticleUchawi wa kutisha: Ndege aliyekuwa Anapaa Ageuka kuwa Mwanamke. Picha zote...
Mapema wiki hii katika kijiji cha Oshindi nchini Nigeria wananchi walishuhudia sinema ya bure ambapo kamera zao zilikuwa macho yao na simu zao pale ndege aliyekuwa anapaa angani ghafla alianguka...
View ArticleJamaa huyu alijikuta akipigishwa mbizi kwenye dimbwi la maji ya MACHAFU kwa...
Picha unazoona sio utani wala sinema, ni raia wa kawaida akiogelea kwenye dimbwi kwa amri ya mwanajeshi. Raia huyo alikutana na adhabu kali za mwanajeshi huyo baada ya kukutwa amevaa mavazi halisi ya...
View ArticleKijana Apigwa mawe na kisha kuchomwa moto baada ya kuiba ng'ombe wawili huko...
Mwanamme mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Sabo mwenye umri wa miaka kati ya 30 hadi 34 ameuawa kwa kupigwa mawe na fimbo na wananchi waliojichukulia sheria mkononi kisha mwili wake kuchomwa moto...
View ArticleJe, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa...
Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa mbalimbali za asili. Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha...
View ArticleHii ni Video ya Tukio Zima la Mama MCHAWI Aliyedondoka wakati akijiandaa...
Leo asubuhi tuliweka hewani tukio zima la mama mchawi wa kinigeria alyekuwa amedondoka chini huku akiwa uchi na mwili ukiwa na vidonda sehemu zote... Mama huyo alidondoka...
View ArticleBBA Hotshots: Endelea kumpigia kura Laveda wa Tanzania kumuokoa asitoke...
Mshiriki mmoja wa Tanzania yupo kwenye hatari ya kutoka kwenye msimu wa tisa wa shindano la Big Brother Africa ‘Hotshots’ weekend hii, ambaye ni Laveda (Irene La Veda). Hivyo njia pekee ya kumuokoa...
View ArticleElani (Kenya) kutumbuiza Jumapili hii kwenye Big Brother Africa
Kundi la Kenya, Elani, linaloundwa na watu watatu, Bryan Chweya, Maureen Kunga na Wambui Ngugi litatumbuiza Jumapili hii kwenye shindano la Big Brother Africa. Kundi hilo lililotajwa pia kuwania tuzo...
View ArticleSerikali yafuta Mafunzo ya Ualimu ngazi ya Cheti
SERIKALI imefuta mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti kuanzia mwaka huu ili kuboresha kiwango cha elimu nchini. Tamko hilo limetolewa jana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt.Shukuru Kawambwa...
View ArticleMahakama ya Kisutu yamzuia Davido kuperform katika tamasha la Serengeti...
Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu, Dar es Salaam imemzuia msanii kutoka Nigeria, Adedeji Adelek maarufu kama ‘Davido’ kuperform katika tamasha la Fiesta linaloandaliwa na Clouds Fm na Prime...
View Article