Mkuu wa Uchunguzi wa Maandishi wa Jeshi la Polisi Kenya, John Kimani ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kuwa saini zinazodaiwa kusainiwa na Ramadhani Balenga katika hati ya uhamishaji umiliki wa kiwanja pamoja na mkataba wa mauziano ni za kughushi.
Kimani alidai hayo katika mahakama hiyo wakati akitoa ushahidi katika kesi ya kughushi inayomkabili Mkurugenzi wa
↧