Wakati Tanzania ikisherehekea Siku ya Chakula Duniani, imeelezwa kuwa watoto 130 hufa kila siku nchini kutokana na kukosa lishe bora na matunzo sahihi.
Hayo yalibainishwa jana na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza katika hotuba yake iliyosomwa kwa niaba yake na Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Dk Rajab Rutengwe.
Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani
↧