WATU wawili, Dilu Tungu (80) na mwanawe Bunya Mihangwa (45) wameuawa kikatili kwa kuchinjwa na watu wasiofahamika baada ya kuvamia nyumba hiyo katika kijiji cha Ihugi kata ya Lyamidati wilaya ya Shinyanga kwa kile kilichoelezwa kuwa ni imani za kishirikina.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Shinyanga, Justus Kamugisha alisema kuwa tukio hilo lilitokea Oktoba 14
↧