Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Raia wa kigeni wafa hotelini jijini Dar

$
0
0
WATU sita wameaga dunia jijini Dar es Salaam wakiwemo raia wawili wa kigeni ambao wamekutwa wamekufa chumbani kwao na miili yao ikiwa haina jeraha lolote.   Kwa mujibu wa taarifa za Jeshi la Polisi, raia wa Afrika ya Kusini, Roxxane Hillier (27), aliyekuwa Meneja wa Mgahawa uitwao Water Front katika Hoteli ya Slipway Masaki na rafiki yake wa kiume aitwaye Hylton William aliyekuwa fundi wa

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>