Siku chache baada ya kutwaa Taji la Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas
Zuberi Mtemvu ameibua mshangao wa aina yake kutokana na utata wa umri
wake.
Utata huo uliibuka saa chache mara baada ya shindano hilo kufanyika
Oktoba 10, mwaka huu kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar ambapo
wadau mbalimbali walianza kuhoji.
Mara baada ya mrembo
kutangazwa mshindi, habari za chini kwa chini
↧