Kundi la Kenya, Elani, linaloundwa na watu watatu, Bryan Chweya,
Maureen Kunga na Wambui Ngugi litatumbuiza Jumapili hii kwenye shindano
la Big Brother Africa.
Kundi hilo lililotajwa pia kuwania tuzo za CHOAMVA 2014 lina album
iitwayo ‘Barua Ya Dunia’ na linafanya Afrika Mashariki na kwingineko.
Matukio yote ya Big Brother Africa yanaruka hewani masaa 24 kupitia site yako
↧