Tamko la Kanisa Katoliki kuhusu Wapenzi wenye mahusiano ya jinsia moja
Ripoti kutoka Vatican inasema ’Kanisa inabidi iwaruhusu na kuwakaribisha wapenzi ambao wapo kwenye mahusiano ya jinsia moja’. Akizungumza na waandishi wa habari, katika mkutano uliofanyika Oct 13...
View ArticleKumbukumbu ya Miaka 15 tangu kifo cha Mwalimu Nyerere
Watanzania leo tunaadhimisha kumbukumbu ya miaka 15 tangu kufariki kwa muasisi na Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mwalimu Nyerere alifariki dunia Oktoba 14, 1999 akiwa...
View ArticleBig Brother Africa: Video Ya Mshiriki wa kike wa Tanzania ( Laveda) Akioga...
Hii ni video ya Mshiriki wa Tanzania ( Laved) akiwa na washiriki wenzake wakioga bafuni ndani ya jumba la big brother Africa. Laveda ni miongoni mwa washiriki nane walioko...
View ArticleRais Kikwete augusia UJANA Urais 2015....." Katiba hairuhusu kijana chini ya...
Wakati mbio za kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu 2015 zikianza kushika kasi nchini, Rais Jakaya Kikwete amewataka vijana kumchagua mtu anayefanana na kijana kurithi nafasi yake. Kauli hiyo ya Rais...
View ArticleWatakaoshindwa kutekeleza agizo la JK wapewe tiketi ya kwaheri
Zimesalia siku chache kabla ya kuingia mwezi mwingine wa Novemba. Ni mwezi mchungu kwa watendaji wa wilaya kupitia halmashauri mbalimbali waliopewa hadi mwezi huo kuhakikisha wanajenga maabara za...
View ArticleRose Ndauka: Sitaki Kuwa na mwanaume tena
Siku chache baada ya uchumba wake kuvunjika, msanii wa filamu Bongo, Rose Ndauka amefunguka na kusema kuwa kwa sasa haitaji tena mwanaume kwani anajikita zaidi katika kufanya kazi. Akizungumza na...
View ArticleAunt Ezekiel naye Azungumzia Sakata la kutoka kimapenzi na Waziri wa...
Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel, amesema hakuna ukweli wowote wa yeye kutanua na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu nchini Marekani, kwani alikutana naye ukumbini, akiwa amealikwa na...
View ArticleChadema wapinga mchakato wa upigaji kura ya maoni bila Daftari la Kudumu la...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kitapinga kwa nguvu zote mchakato wa upigaji kura ya maoni kuamua kuikubali au kuikataa katiba inayopendekezwa, kuendeshwa bila Daftari la Kudumu...
View ArticleNdugu wadaiwa kuua baba yao wakigombea mahari
POLISI mkoani Katavi inawashikilia ndugu wawili wakituhumiwa kumuua baba yao mzazi, Sado Shija (45) kwa kumcharanga kwa mapanga, wakigombea mahari iliyotolewa kwa dada yao alipokuwa akiolewa....
View ArticleCCM Yaanza Vikao Vizito mjini Dodoma
SIKU chache baada ya kumalizika kwa Bunge Maalumu la Katiba, macho na masikio ya wakazi wa mkoani hapa yanatarajiwa kuhamia katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
View ArticleBig Brother Africa: Mshiriki wa Kike wa Botswana AJILEGEZA Kwa jembe letu la...
Siku washiriki wa BBA Hotshots wanatambulishwa, mwakilishi wa Tanzania, Idris Sultan alimwambia mtangazaji IK kuwa cheche zake zipo kwenye masuala ya wanawake. Huenda sasa shughuli imeanza. Baada ya...
View ArticleWaliokufa Lori la Petroli wafikia Watano.....Polisi Aliyejaribu kuzuia...
Idadi ya watu waliokufa kutokana na ajali ya moto wa lori lililopinduka na kisha kulipuka baada ya watu kulivamia kwa lengo la kujipatia mafuta, imeongezeka na kufikia watano kutoka vitatu vya awali....
View ArticlePolisi yazungumzia Wimbi la Utekaji watoto Dar
Wakati hofu juu ya usalama wa watoto katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam ikizidi kutanda miongoni mwa wazazi na walezi, Polisi imekanusha kuwapo kwa matukio ya utekaji nyara watoto...
View ArticleKombani Anusuru Ajira za DC, DEC Maabara za "Kikwete"
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani ametoa msaada muhimu wa Sh milioni 40 na bati 300 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa vyumba vya maabara katika shule 12 za...
View ArticleMkuu wa Wilaya Akaangwa kwenye tume ya maadili
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe, Anna Mwalende ameanika mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma ushahidi wake dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gamba na kueleza...
View ArticleMvuvi Ajeruhiwa na Kiboko, Wawili waponea Chupuchupu
Shukurani Kando (34) ambaye ni mvuvi na mkazi kitongoji cha Kalumo kijiji cha Nambubi, Kata ya Kisorya amejeruhiwa kwa kung’atwa na kiboko na wengine wawili kunusurika wakati wakivua katika Ziwa...
View ArticleWakimbizi 162,156 wa Burundi Wapewa Uraia wa Tanzania
Rais Jakaya Kikwete ametoa hati za uraia wa Tanzania kwa wakimbizi 162,156 kutoka nchi jirani ya Burundi na ambao wameishi nchini kwa miaka 42, tangu mwaka 1972. Alitoa hati hizo juzi mjini Tabora,...
View ArticleMadai Mazito: Mchungaji atorosha mke wa mtu
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Bongo anayekuja juu kwa kasi, Janet Mrema anayedaiwa kutoroshwa na mchungaji huyo. ********** Mchungaji anayejiita nabii na mtume, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo...
View ArticleMama Kanumba akanusha kutoka kimapenzi na kijana mdogo ambaye amemzidi umri...
Mama wa marehemu, Steven Kanumba, Flora Mtegoa amekanusha vilivyo taarifa zilizozagaa kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na kijana mdogo ambaye amemzidi umri (serengeti boy). Mama Kanumba ambaye pia...
View ArticleWawekezaji wa gesi na mafuta wamiminika Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema taasisi mbalimbali za kimataifa zinazojishughulisha na masuala ya mafuta na gesi zimeanza kujitokeza kuomba fursa ya kuwekeza katika sekta hiyo. Maombi...
View Article