Siku washiriki wa BBA Hotshots wanatambulishwa, mwakilishi wa
Tanzania, Idris Sultan alimwambia mtangazaji IK kuwa cheche zake zipo
kwenye masuala ya wanawake. Huenda sasa shughuli imeanza.
Baada ya binti mrembo wa Botswana( Goitse) kumzingua mshikaji ( Idris ) aliyekuwa ametupa jiwe kumtaka awe mpenzi wake, hatimaye Idris jana alimnasa binti huyo na kula naye dinner
↧