SIKU chache baada ya kumalizika kwa Bunge Maalumu la Katiba, macho na masikio ya wakazi wa mkoani hapa yanatarajiwa kuhamia katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) itakayofanya vikao vyake mjini hapa mwishoni mwa wiki.
Wakazi wa Dodoma walishuhudia Katiba Inayopendekezwa ikikabidhiwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar,
↧