Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Ndugu wadaiwa kuua baba yao wakigombea mahari

$
0
0
POLISI mkoani Katavi inawashikilia ndugu wawili wakituhumiwa kumuua baba yao mzazi, Sado Shija (45) kwa kumcharanga kwa mapanga, wakigombea mahari iliyotolewa kwa dada yao alipokuwa akiolewa.   Imeelezwa kuwa wanandugu hao, Shinje Italam (25) na Shile Italam (20) walikuwa na ugomvi na baba yao huyo, wakigombea ng’ombe 20 zikiwa ni mahari iliyotolewa wakati alipoolewa dada yao.  

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles