Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kitapinga kwa nguvu
zote mchakato wa upigaji kura ya maoni kuamua kuikubali au kuikataa
katiba inayopendekezwa, kuendeshwa bila Daftari la Kudumu la Wapigakura
kuboreshwa kwanza.
Kadhalika, chama hicho kimelalamikia baadhi ya kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa kwa madai kwamba, zina upungufu.
Msimamo huo wa Chadema ulitangazwa
↧