Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel, amesema hakuna
ukweli wowote wa yeye kutanua na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro
Nyalandu nchini Marekani, kwani alikutana naye ukumbini, akiwa amealikwa
na blog iitwayo Vijimambo ambayo hutangaza utalii wa Tanzania nchini
humo kila mwaka.
Alisema wakati wa safari yake hakuelewa lolote kuhusu Waziri Nyalandu
na anashangazwa na yanayozungumzwa
↧