Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Rais Kikwete Aweka jiwe la msingi barabara ya Usagala- Kisesa , Pai afungua...

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya kilometa 16 kutoka Usagara hadi Kisesa mkoani Mwanza jana.Rais Kikwete yupo mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi...

View Article


Rais Kikwete Afungua Jengo La PPF jijini Mwanza

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi jengo la kitega uchumi la mfuko wa pensheni la PPF mjini Mwanza jana jioni.Wengine katika picha kutoka kushoto,ni Waziri wa Ujenzi Dkt.John...

View Article


Watangazaji waiponza Times Fm Radio....TCRA Yaipiga faini ya Milioni 1

KAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetoa onyo kali kwa kituo cha Redio cha Times Fm, pamoja na faini ya kulipa kiasi cha Sh milioni 1, kutokana na kukiuka vifungu vya...

View Article

Ubalozi wa Somalia nchini Tanzania Wafungwa

Waziri wa Mambo ya Nje wa Somalia, Dk. Abdirahman Duale Beyle amesema kuwa, balozi za Somalia nje ya nchi zimepunguzwa na kufikia 31 kote ulimwenguni. Duale amesema kuwa, balozi hizo zimepungua tangu...

View Article

Wasanii wa Tanzania kugawiana Mashamba Nyerere Day

MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) umeandaa ibada maalum ya kumkumbuka Baba wa taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere itakayofanyika katika mashamba yao yaliyopo kijiji cha Ngarambe, Mkuramga mkoa wa...

View Article


Askari Polisi Waliombambika Dereva Makosa na kusababisha kifo cha abiria...

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limewahamisha askari wake, WP 5863 Quine na WP 3548 Koplo Maeda kutoka Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Ilala kwa kukiuka maadili ya kazi. Taarifa...

View Article

Big Brother Africa 2014: Video ya Washiriki wa Botswana na Nigeria Wakioga...

Baada  ya  Jana  kukuletea  Episode  Tano  muhimu  zilizopewa  jina  la  Video  5  Hatari  toka  jumba  la  Big Brother  Africa zikianika  kila  kitu tangu  shindano la mwaka  huu lianze, hii  ni...

View Article

Binti wa Mbunge wa Temeke Atwaa Taji la Miss Tanzania 2014

Siti, binti wa Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu, usiku wa kuamkia jana ameibuka kidedea katika kinyang’anyiro cha kumsaka mrembo wa Tanzania  (Redd’s Miss Tanzania 2014) katika shindano lililofanyika...

View Article


Katiba Pendekezwa Imekosewa......Sasa kuchapishwa upya

Uongozi wa Bunge Maalumu la Katiba, umemuagiza Mpigachapa Mkuu wa Serikali, kupiga chapa upya Katiba Inayopendekezwa, baada ya kubaini makosa ya uchapaji, ikiwemo kuandikwa kwa makosa kwa mjumbe wa...

View Article


TID achukizwa na kukanusha taarifa ya mtandao wa Kenya kuwa alidhalilishwa...

Msanii mkongwe wa muziki nchini Khalid Mohamed aka TID amefunguka na kuelezea kuchukizwa kwake baada ya kuandikwa vibaya ya mtandao wa Kenya uitwao Mpasho kuwa alitendewa matendo machafu akiwa...

View Article

Diamond afunguka juu ya tofauti zilizokuwa zikizungumzwa baina yake na Alikiba

Diamond na Alikiba ndio wasanii wa bongo fleva wenye timu mbili kubwa za mashabiki waliogawanyika na kuwashindanisha kwa niaba yao, Team Diamond v/s Team Alikiba, ushindani ambao umevalishwa ‘mask’ za...

View Article

Hizi ni nchi duniani ambazo raia wa Tanzania hahitaji visa kwenda

Zifuatazo ni nchi ambazo raia wa Tanzania anaweza kwenda bila kuwa na visa. Botswana – No visa is required for a maximum stay of 90 days Burundi – No visa is required for a maximum stay of 30 days...

View Article

Mariah Carey – kufuli nje nje kwenye show ya China (Picha)

Ni hivi karibuni tu aliachana na mume wake, Nick Cannon baada ya kuishi kwa miaka sita lakini Mariah Carey hajataka kuruhusu matatizo yake binafsi yaathiri muziki wake na ndio maana yupo kwenye ziara...

View Article


Marekani yapata mgonjwa wa pili wa Ebola

Mfanyakazi wa kituo cha afya aliyemtibu, Thomas Dancun kabla ya kifo chake katika jimbo la Texas nchini Marekani amepatikana na virusi vya ugonjwa wa Ebola. “Tulijua kuna uwezekano wa kisa cha pili...

View Article

Rapper Wakazi arithi mikoba ya Gardner, awa maneja mpya wa Lady Jaydee

Rapper Wakazi ndiye meneja mpya wa Lady Jaydee. Amechukua nafasi hiyo kutoka kwa Gadner G Habash. Akizungumza na gazeti la Mtanzania Wakazi alikiri kwamba yeye ndiye meneja mpya wa Jaydee japo hakuwa...

View Article


Ajali mbaya ya basi la Happy Nation na gari dogo....Mfanyakazi wa benki na...

Wafanyakazi wa Benki moja hapa nchini wamekumbwa na simanzi iliyosababishwa na kifo cha mwajiriwa mwenzao kilichotokana na ajali iliyotokea jana jioni huko Hedaru, Wilayani Same mkoani Kilimanjaro...

View Article

Waziri wa maliasili na utalii nchini, Mh. Lazaro Nyalandu azungumzia madai ya...

Juzi gazeti moja la habari za mastaa nchini liliandika kuwa ndoa ya Mh. Lazaro Nyalandu ambaye ni mbunge na waziri wa maliasili na utalii nchini na Faraja Kota ambaye ni mshindi wa taji la Miss...

View Article


Taswira kutoka eneo la mbagala Rangi 3 baada ya Lori la mafuta kuteketea kwa...

WATU kadhaa wanadaiwa kupoteza maisha kwa kuungua kwa moto uliolipuka wakati wakichota mafuta kutoka kwenye lori lililopata ajali usiku wa kuamkia leo eneo la Mbagala Rangi Tatu, Temeke jijini Dar es...

View Article

Mwanafunzi wa kikie Ajichoma Kisu kisa Wivu wa Mapenzi

Mwanafunzi wa Chuo cha T.I.A tawi la mkoani Singida, Moza Kasim Mohemed (20) ambaye ni mkazi wa jijini Dar es Salaam, amejichoma kisu tumboni kwa madai ya kuchoshwa na usaliti wa mpenzi wake aitwaye...

View Article

Tukio la Moto Mbagala: Watatu wafariki dunia.....6 Wana hali mbaya Muhimbili

Watu watatu wamefariki na wengine sita  wakiwa katika hali mbaya Hospitali ya Muhimbili kufuatia tukio la moto uliolipuka kwenye gari la kubeba mafuta  jana maeneo ya Mbagala jijini Dar es Salaam....

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>