Diamond na Alikiba ndio wasanii wa bongo fleva wenye timu mbili kubwa
za mashabiki waliogawanyika na kuwashindanisha kwa niaba yao, Team
Diamond v/s Team Alikiba, ushindani ambao umevalishwa ‘mask’ za ‘beef’
ambayo Nasib Abdul amedai kuwa haipo.
Platnumz ambaye alikuwa bado hajaamua kuzungumzia tofauti hizo
ameamua kufunguka juu ya ushindani pamoja na ‘beef’ iliyokuwa
inazungumzwa
↧