Msanii mkongwe wa muziki nchini Khalid Mohamed aka TID amefunguka na
kuelezea kuchukizwa kwake baada ya kuandikwa vibaya ya mtandao wa Kenya
uitwao Mpasho kuwa alitendewa matendo machafu akiwa gerezani miaka
kadhaa iliyopita.
Akizungumza na Bongo5, TID amesema habari hiyo si ya kweli na imemdhalilisha.
“Mimi sijawahi hata siku moja kudhalilishwa jela wala kufanyiwa kitu
chochote.
↧