WATU kadhaa
wanadaiwa kupoteza maisha kwa kuungua kwa moto uliolipuka wakati
wakichota mafuta kutoka kwenye lori lililopata ajali usiku wa kuamkia
leo eneo la Mbagala Rangi Tatu, Temeke jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu
wa mtu aliyekuwa eneo la tukio ni kwamba watu hao walikuwa wakiiba
mafuta baada ya lori lililokuwa limebeba shehena ya mafuta kupata ajali
kabla ya kulipuka na
↧