Mwanafunzi wa Chuo cha T.I.A tawi la mkoani Singida, Moza Kasim
Mohemed (20) ambaye ni mkazi wa jijini Dar es Salaam, amejichoma kisu
tumboni kwa madai ya kuchoshwa na usaliti wa mpenzi wake aitwaye Joel
ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo hicho.
Tukio hilo la kushangaza lilitokea usiku wa kuamkia Oktoba 10, mwaka
huu maeneo ya Jovena katika Hosteli za Miami ambapo Moza alikuwa akiishi
↧