Watu watatu wamefariki na wengine sita wakiwa
katika hali mbaya Hospitali ya Muhimbili kufuatia tukio la moto
uliolipuka kwenye gari la kubeba mafuta jana maeneo ya Mbagala jijini
Dar es Salaam.
Alizumgumza na mwandishi, Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu
Kamishna Mohammed Mpinga, alisema ajali hiyo haikuleta athari yoyote
baada ya gari lile kupata ajali ila athari
↧