Juzi gazeti moja la habari za mastaa nchini liliandika kuwa ndoa ya Mh.
Lazaro Nyalandu ambaye ni mbunge na waziri wa maliasili na utalii nchini
na Faraja Kota ambaye ni mshindi wa taji la Miss Tanzania 2004
inatikisika kisa kikidaiwa ni star wa filamu nchini Aunty Ezekiel kudaiwa kutoka na mh. Nyalandu mara baada ya kukutana nchini Marekani katikati ya mwezi September mwaka huu.
Aunty
↧