Wafanyakazi wa Benki moja hapa nchini wamekumbwa na simanzi
iliyosababishwa na kifo cha mwajiriwa mwenzao kilichotokana na ajali
iliyotokea jana jioni huko Hedaru, Wilayani Same mkoani Kilimanjaro
iliyohusisha gari lenye namba za usajili T653 BZR na basi la Happy
Nation.
Imeripotiwa kuwa watu wote wanne waliokuwemo ndani ya gari dogo walipoteza uhai papo hapo.
Picha
↧