Rapper Wakazi ndiye meneja mpya wa Lady Jaydee. Amechukua nafasi hiyo kutoka kwa Gadner G Habash.
Akizungumza na gazeti la Mtanzania Wakazi alikiri kwamba yeye ndiye
meneja mpya wa Jaydee japo hakuwa tayari kueleza lolote kuhusu ndoa ya
binamu yake Jaydee na Gardner kwa maelezo kwamba yeye si msemaji wao
katika masuala ya mapenzi na ndoa yao.
“Mimi sijui chochote, maana
↧