Mfanyakazi wa kituo cha afya aliyemtibu, Thomas Dancun kabla ya kifo
chake katika jimbo la Texas nchini Marekani amepatikana na virusi vya
ugonjwa wa Ebola.
“Tulijua kuna uwezekano wa kisa cha pili kuripotiwa ,na
tumejitayarisha kwa uwezekano huo”alisema Daktari David Lakey ambaye ni
kamishna wa idara ya afya katika jimbo la Texas”
Marehemu Dancun ambaye aliambukizwa ugonjwa huo
↧