Ni hivi karibuni tu aliachana na mume wake, Nick Cannon baada ya
kuishi kwa miaka sita lakini Mariah Carey hajataka kuruhusu matatizo
yake binafsi yaathiri muziki wake na ndio maana yupo kwenye ziara barani
Asia.
Muimbaji huyo mwenye miaka 44 Jumapili hii alikuwa na show huko
Chengdu katika jimbo la Sichuan, China na kuwapa si tu burudani lakini
pia kuwaonesha kufuli lake nje nje.
↧