Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi kuzindua rasmi ujenzi
wa barabara ya kilometa 16 kutoka Usagara hadi Kisesa mkoani Mwanza
jana.Rais Kikwete yupo mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua daraja la Nyashishi lenye urefu wa
mita 67 lililopo katika barabara ya Usagara Kisesa wakati alipokwenda
kuweka jiwe la msingi
↧