Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limewahamisha askari
wake, WP 5863 Quine na WP 3548 Koplo Maeda kutoka Kikosi cha Usalama
Barabarani Mkoa wa Ilala kwa kukiuka maadili ya kazi.
Taarifa ya ndani ya Oktoba 2, mwaka huu ya Kikosi cha Usalama Barabarani
Makao Makuu Dar es Salaam iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii,
imesema askari hao walisimamisha gari dogo na baada ya
↧