Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Taswira za Mkutano wa CHADEMA jijini Arusha jana

Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, akihutubia katika mkutano uliofanyika jana kwenye Uwanja vya...

View Article


watu 7 wauawa kwa imani za ushirikina Kigoma

Watu saba toka familia Nne tofauti wameuawa na nyumba 18 zimechomwa moto Jumanne wiki hii katika kijiji cha murufiti wilaya ya kasulu mkoani kigoma, baada ya wananchi kuvamia wakazi wa nyumba hizo...

View Article


Rais Kikwete Ahudhuria Sherehe za Miaka 52 ya Uhuru wa Uganda

Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda akiwakaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Salva Kiir wa Sudani ya kusini kuhudhuria sherehe za Uhuru wa Uganda zilizofanyika huko kololo...

View Article

Baraza la Maadili Latoa Amri ya Kukamatwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe

Baraza la Maadili limetoa amri ya kukamatwa mara moja Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Mrisho Gambo kwa kukaidi wito wa kufika mbele ya Baraza hilo kujibu tuhuma zinazomkabili. Akizungumza baada ya...

View Article

Rais Kikwete: Katiba Inayopendekezwa Imewajali Watu wa Rika Zote

Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania amewapongeza wajumbe wa bunge maalum la katiba kwa kupendekeza katiba ambayo imejali maslahi ya makundi yote wakiwemo wanawake na walemavu. Rais Kikwete amesema...

View Article


Wanaoandika Maneno ya Uchochezi kwenye kuta Wasakwa

Watu wasiofahamika, usiku wa kuamkia juzi wameandika maneno kwenye kuta ikiwamo ukuta wa Kampuni ya Bakhressa katika maeneo ya Tazara wakidhihaki Katiba Inayopendezwa sanjari na aliyekuwa Mwenyekiti...

View Article

Mpira wa Katiba Mpya sasa kwa Wananchi

Ni msemo maarufu wa wahenga ambapo Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein aliutumia vilivyo juzi katika hotuba yake baada ya yeye na Rais Jakaya Kikwete kupokea Katiba Inayopendekezwa kutoka kwa...

View Article

Afande Sele: Katiba aliyokabidhiwa Kikwete ina makosa mengi, haitodumu

Rapper na mwanaharakati Seleman Msindi aka Afande Sele amezungumzia makabidhiano ya katiba mpya yaliyofanyika juzi katika viwanja vya Jamhuri Dodoma ambapo spika wa bunge maalum la katiba, Swamwel...

View Article


Shughuli za kijamii zamfanya Ray C aweke muziki pembeni kwa muda hadi November

Msanii wa muziki nchini, Rehema Chalamila aka Ray C ambaye pia alianzisha taasisi ya kupambana na matumizi ya madawa ya kulevya, ‘Ray C Foundation’, amesema kazi ya kuwaokoa vijana walioingia kwenye...

View Article


Irene Uwoya kuja na ‘Kisoda’, akanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na na Msami

Msanii wa filamu nchini Irene Uwoya amesema anajiandaa kuachia filamu yake mpya iitwayo ‘Kisoda’. Uwoya amesema alisafiri hadi Afrika Kusini ili kutafuta location tofauti zitakazoifanya filamu hiyo...

View Article

DCI awasilisha jalada la Mbowe kwa DPP

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai(DCI), Isaya Mungulu amesema jalada la upelelezi wa kesi ya mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe limeshakabidhiwa kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kwa...

View Article

Jambazi Sugu lililokuwa likiwaua kwa Risasi wanawake jijini Arusha Lauawa na...

Jeshi la Polisi mkoani Arusha limefanikiwa kumuua jambazi aliyekuwa anajihusisha na mauaji ya wanawake mkoani humo ajulikanae kwa jina la Ramadhani Abdallah Jumanne mwenye umri wa miaka 37. Jamabazi...

View Article

Video 5 HATARI Toka Ndani ya Jumba la Big Brother Africa Ziko Hapa

Huu  ni  Mkusanyiko  wa  Episodes  5  za  Matukio  yote  yanayotendeka  ndani  ya  jumba  la  Big  Brother  Africa tangu  lianze  Jumapili  ya  tarehe  5. Katika  mkusanyiko  huu  wa  Video,...

View Article


Rais Museven amekataa watu kusalimiana kwa kushikana mikono

October 9 2014 nchi ya Uganda iliazimisha uhuru wake huku rais wake Yower Museven akizungumza mambo muhimu matatu kwa wananchi wake ambapo ishu ya kwanza ni kuwataka wananchi wake kuwa makini kutokana...

View Article

Maofisa polisi 120 watimuliwa

Maofisa wa Polisi wapatao 120 wa Jeshi la Polisi, waliokuwa wakihudhuria mafunzo ya kupandishwa vyeo katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi (MPA), wametimuliwa chuoni hapo.    Habari za uhakika...

View Article


Mwalimu wa Sekondari Auawa Wakati Akifanya maombi kanisani

Watu wasiojulikana wamemuua Mwalimu Dionizi Ng’wandu wa Shule ya Sekondari Kagemu iliyopo nje kidogo ya Mji wa Bukoba na kumkata mguu mtu mwingine wakati wakifanya maombi kanisani.    Tukio hilo...

View Article

Kimbunga cha Kinana Chawazoa Katibu wa CHADEMA na wafuasi wake 26 Nyololo,...

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akionesha kadi 27 za wananchama wa Chadema  waliokihama chama hicho na kujiunga na CCM kaatika mkutano wa hadhara uliofanyika Mjini Nyololo, wakati wa ziara ya...

View Article


Wema Sepetu, King Majuto Na Diamond Platnumz Kucheza Filamu Pamoja

Msanii maarufu wa filamu nchini King Majuto amesema kuwa ana nia ya kufanya filamu ya pamoja na Wema Sepetu na Diamond Platnumz. Akizungumza na Bongo5,  King Majuto ambaye filamu zake nyingi zinafanya...

View Article

"Sina Uhusiano Wa Kimapenzi Na Master J" - Shaa

Shaa ambaye ni mwimbaji maarufu wa vibao vya Sugua Gaga na Subira  amekana kuwa na uhusuiano na producer maarufu wa muziki wa kizazi kipya Master J.   Akizungumza na jarida moja linalotoka kila mwezi...

View Article

Miss Tanzania kufanyika leo Mlimani City jijini Dar

Shindano la kumsaka mrembo wa Tanzania linatarajiwa kufanyika leo, ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, ikiwa ni ruhusa kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kutupilia mbali pingamizi...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>