Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

"Sina Uhusiano Wa Kimapenzi Na Master J" - Shaa

$
0
0
Shaa ambaye ni mwimbaji maarufu wa vibao vya Sugua Gaga na Subira  amekana kuwa na uhusuiano na producer maarufu wa muziki wa kizazi kipya Master J.   Akizungumza na jarida moja linalotoka kila mwezi Shaa amesema kuwa ameshangazwa na media kuandika ni wapenzi wakati yeye na master Jay wapo kikazi zaidi. Hata hivyo wakati Shaa akiyasema hayo inadaiwa tayari familia ya Master J

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>