Watu wasiofahamika, usiku wa kuamkia juzi wameandika maneno
kwenye kuta ikiwamo ukuta wa Kampuni ya Bakhressa katika maeneo ya Tazara
wakidhihaki Katiba Inayopendezwa sanjari na aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge
Maalumu la Katiba.
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, imesema inafuatilia
kubaini watu wanaoandika maneno ya uchochezi kwenye kuta na kwamba
wakigundulika watashitakiwa kwa
↧