Ni msemo maarufu wa wahenga ambapo Rais wa Zanzibar, Dk Ali
Mohammed Shein aliutumia vilivyo juzi katika hotuba yake baada ya yeye na Rais
Jakaya Kikwete kupokea Katiba Inayopendekezwa kutoka kwa Mwenyekiti wa Bunge
Maalumu la Katiba (BMK), Samuel Sitta mjini Dodoma.
Alisema: ‘Hayawi hayawi sasa yamekuwa’ na akaendelea zaidi
kwa kusema: ‘Waliosema hayawezekani sasa yamewezekana’.
↧