Rais
Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania amewapongeza wajumbe wa bunge maalum
la katiba kwa kupendekeza katiba ambayo imejali maslahi ya makundi yote
wakiwemo wanawake na walemavu.
Rais
Kikwete amesema hayo mjini Dodoma wakati alipokuwa akikabidhiwa
katiba iliyopendekezwa na wajumbe wa bunge maalum la katiba mara baada
ya kumalizika kwa vikao vya bunge hilo maalum la katiba
↧