Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai(DCI), Isaya Mungulu
amesema jalada la upelelezi wa kesi ya mwenyekiti wa Chadema, Freeman
Mbowe limeshakabidhiwa kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kwa ajili
ya kumfikisha mahakamani.
DCI Mungulu alisema hayo jana alipozungumzia
mwafaka wa shauri la mwenyekiti huyo aliyetangaza maandamano ya amani
kwa wafuasi wa chama chake mara baada
↧