Maofisa wa Polisi wapatao 120 wa Jeshi la Polisi, waliokuwa
wakihudhuria mafunzo ya kupandishwa vyeo katika Chuo cha Taaluma ya
Polisi Moshi (MPA), wametimuliwa chuoni hapo.
Habari za uhakika zilizopatikana jana kutoka ndani
ya chuo hicho zamani kikijulikana kama CCP, zimedai uamuzi wa kuwaondoa
chuoni ulitangazwa jana na mkuu wa chuo hicho, Matanga Mbushi.
Vyanzo mbalimbali
↧