Viboko vyatembezwa makaburini Sengerema.....Wajukuu Wacharazwa bakora baada...
Wajukuu wa marehemu Sabina Ngalu wa Mwanza wamecharazwa viboko na watoto wa marehemu baada ya kung’ang’ania kaburini wakitaka wapewe fedha. Chanzo cha wajukuu hao zaidi ya 10 kucharazwa bakora ni...
View ArticleMama amkata mwanaye paja,achoma mshikaki
Mwanamke mmoja Kilimanjaro amekamatwa na polisi akidaiwa kumkata mtoto wake mwenye umri wa miaka nane nyama ya paja na kuichoma mithili ya mshikaki. Mwanamke huyo aliyetajwa kwa jina la Dafrosa...
View ArticleBaba Mzazi Adaiwa Kumchinja Mwanaye
Baba mzazi mkazi wa Sengerema anadaiwa kumuua mwanaye wa miaka minne kwa kumchinja koromeo na kumchoma kwa kisu kwenye kitovu na utumbo kutoka nje. Mzazi huyo anadaiwa kufanya mauaji hayo juzi...
View ArticleHuu sio msafara wa kiongozi....Ni wa mtu aliyekutwa na Ebola.
Kuna Nesi mmoja amegudulika kuwa na ugonjwa wa Ebola baada ya kuwahudumia Wamishionari wawili waliokua na ugonjwa huo baada ya kutoka nao Sierra Leone walikokua wamekwenda kujitolea kufanya kazi....
View ArticleWanaume Wafupi Ndiyo Wanaume Bora Zaidi Katika Ndoa Na Familia.
Wanaume ambao ni wafupi kwa kimo mara nyingi wanasifika kuwa waume bora kuliko wanaume warefu. Pia inaarifiwa huwa na busara zaidi kufidia kimo chao, amekiri Adam Gopnik, mwanamme mmoja wenye umbo...
View ArticleKelly Rowland ambae ni mjamzito apiga picha za utupu kwaajili ya jarida la Elle
Member wa Destiny’s Child, Kelly Rowland ame-pose mbele ya camera akiwa mtupu na kupigwa picha kwaajili ya toleo jipya la jarida la ELLE. Kelly ambaye anatarajia kujifungua hivi karibuni amefanya kile...
View ArticleMilioni 30 za Johari zimepotea baada ya kuzuiliwa kutoka kwa filamu ya...
Muigizaji wa filamu Blandina Chagula aka Johari amesema pamoja na kusikitishwa kutokana na bodi ya filamu nchini kuizua filamu ya ‘Sister Marry’ isitoke, amekula hasara kubwa. Johari amesema kuwa...
View ArticleMeninah : Ni kweli Diamond Platnumz Ananitongoza lakini Bado Sijamkubalia
Habari mpya zinasema kuwa Meninah amekiri kutongozwa na Diamond Platnumz lakini bado hajamkubalia. Kwa mujibu wa gazeti moja la Udaku toleo la jana, sms za Meninah akichati na rafiki yake akimwambia...
View ArticleMama Wema ataka mahari ya Mil.100 ili Diamond amuoe mwanae....Wema Sepetu...
Habari ya mjini hivi sasa ni Ndoa ya msataa wa Bongo, Wema Sepetu na Diamond Platnumz. Habari zinaarifu kuwa ili Diamond Platnumz aweze kumuoa Wema Sepetu ni lazima atoe shilingi milioni...
View ArticleMahakama yaruhusu Mashindano ya Miss Tanzania Kufanyika Kama Yalivyopangwa
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu,jijini Dar es Salaam, jana iliamuru mashindano ya urembo Tanzania yaliyopangwa kufanyika Oktoba 11, mwaka huu kuendelea baada ya kutupilia mbali maombi ya dharura...
View ArticleMbunge wa Kawe, Halima Mdee na Wenzake 8 wapata dhamana.....Kesi yao kutajwa...
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee na wenzake 8 leo wamepata dhamana katika Mahakama ya Kisutu, Dar. Kesi yao kutajwa tena Oktoba 21, 2014. Siku ya jana washtakiwa hao walipanda kizimbani mbele ya Hakimu...
View ArticleBig Brother Africa: Mshiriki wa Nigeria Amuomba Mshiriki wa Kike wa Uganda...
Mambo yanazidi kuwa mambo ndani ya jumba la "kikubwa" la Big Brother House ambapo mwaka huu mashindano hayo yamepewa jina la Hotshots( Big Brother Hotshots) Baada ya juzi kamera...
View ArticlePicha: Rais Kikwete Apokea Katiba Inayopendekezwa mjini Dodoma leo
Mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba Mhe.Samuel Sitta akikabidhi katiba inayopendekezwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya...
View ArticleMtoto wa Miaka 9 Ajinyonga
Katika hali ya kushangaza, mtoto Focus Saimoni (9), mkazi wa Kwa Bibi Yuda, Kinondoni jijini Dar amekutwa amejinyonga kwenye komeo la mlango wa sebule yao. Focus aliyekuwa akisoma darasa la tatu...
View ArticleWanafunzi wa Sekondari ya Njombe Wachoma Moto Mabweni na karakana
Shule ya Sekondari ya Wavulana Njombe (Njoss) iliyoko mjini Njombe, imefungwa kuanzia jana hadi Novemba 8, mwaka huu, baada ya wanafunzi kuchoma moto bweni, karakana na kuharibu mali mbalimbali za...
View ArticleKenyatta Apokewa Kwa Shangwe Nairobi
Makundi ya watu wanaoshangilia, yamempokea Rais Uhuru Kenyatta ambaye amerejea Kenya baada ya kuhudhuria Mahakama ya Kimataifa ICC, iliyopo The Hague. Bwana Kenyatta alihudhuria shauri mahakamani...
View ArticleCUF Yakiri Kuwa Ni Vigumu Kuiondoa CCM madarakani
Chama cha Wananchi (CUF) kimekiri kwamba ni vigumu kuondoa Chama Cha Mapinduzi (CCM) maradakani bila kuwa na umoja na mshikamano baina ya wanachama na viongozi. Aidha chama hicho kimesema CCM ni...
View ArticleSerengeti Fiesta Dar kuonekana live mtandaoni
Waandaji wa tamasha la Serengeti Fiesta kwa kushirikiana na Clouds TV wametangaza kurusha mtandaoni moja kwa moja sehemu ya matangazo ya tamasha la Serengeti Fiesta 2014 ambalo mwaka huu...
View ArticleKesi ya utekaji iliyokuwa ikimkabili Madee yamalizika kwa kulipa faini
Kesi ya utekaji iliyokuwa ikimkabili Madee imemalizika kwa kulipa faini ya shilingi 50,000. Madee alidaiwa kumteka kijana mmoja huko Kigamboni baada ya kumuibia simu. Hakimu ametoa hukumu ya kifungo...
View ArticleKAGERA: Polisi wa usalama barabarani waliopiga picha wakipigana busu watimuliwa
Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewafukuza kazi askari polisi watatu kwa kosa la kukosa maadili mema ya jeshi la Polisi. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani hapa Henry Mwaibambe,amewataja askari hiyo...
View Article