Muigizaji wa filamu Blandina Chagula aka Johari amesema pamoja na
kusikitishwa kutokana na bodi ya filamu nchini kuizua filamu ya ‘Sister
Marry’ isitoke, amekula hasara kubwa.
Johari amesema kuwa maandalizi ya filamu hiyo yalighalimu shilingi milioni 30.
“Unajua inauma sana, tumeshindwa kutetea filamu ya ‘Sister Marry’
kutokana na madai eti tumedhalilisha dini. Ina maana hawataki
↧