Member wa Destiny’s Child, Kelly Rowland ame-pose mbele ya camera
akiwa mtupu na kupigwa picha kwaajili ya toleo jipya la jarida la ELLE.
Kelly ambaye anatarajia kujifungua hivi karibuni amefanya kile
ambacho hufanywa na mastaa wengi wa Marekani wanapokaribia kujifungua,
ambao hupiga picha za utupu kuonesha tumbo la ujauzito. Picha hizo
zimepigwa pamoja na zingine alizovaa nguo.
↧