Mwanamke mmoja Kilimanjaro amekamatwa na polisi akidaiwa kumkata
mtoto wake mwenye umri wa miaka nane nyama ya paja na kuichoma mithili
ya mshikaki.
Mwanamke huyo aliyetajwa kwa jina la Dafrosa Massawe anadaiwa
kufanya unyama huo mwishoni mwa wiki na majirani wanasema mama huyo
alifanya hivyo akiwa amelewa.
Kamanda wa Polisi Kilimanjaro Koka Moita alisema mwanamke huyo
↧