Chama cha Wananchi (CUF) kimekiri kwamba ni vigumu kuondoa
Chama Cha Mapinduzi (CCM) maradakani bila kuwa na umoja na mshikamano
baina ya wanachama na viongozi.
Aidha chama hicho kimesema CCM ni chama kilichokaa madarakani kwa
muda mrefu hivyo kama kweli wanataka kukiondoa, ni lazima kuwe na
mipango madhubuti ya kisiasa ikiwa ni pamoja na wanachama kushiriki
kikamilifu kwenye uchaguzi
↧